NAOT

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la NAOT

Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) wakijadiliana juu ya uboreshaji wa     shughuli za Ofisi hiyo, wakati wa mapumziko baada ya Ufunguzi wa baraza hilo, lililofunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Joel Bendera.

2012

Comments are closed.