NAOT

CAG akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu-Utumishi

 

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad akiteta jambo na Naibu Katibu mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis  Michael wakati wa hafla ya kufungua  Baraza la wafanyakazi  hivi karibuni Jijini Dodoma.

2019

Comments are closed.