NAOT

Posted in: CAG column

 
 

Wananchi washirikishwe katika Ukaguzi fedha za Umma

 Mdhibiti  na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali(CAG), Ludovick Utouh, amesema kuna umuhimu wa kuwapo kwa uwazi na uwajibikaji pamoja na kuwashirikisha wananchi katika mchakato wa ukaguzi wa fedha za umma. CAG aliyasema hayo jana wakati akifungua warsha ya siku mbili  yenye lengo  la kuwajengea uwezo wakaguzi wa ndani na baadhi ya viongozi wa kamati… Read the full article.