NAOT

Posted in: Other audit reports

 
 

OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YAKAMILISHA ZOEZI LA KUKUSANYA MAONI YA WADAU KUHUSU MPANGO MKAKATI WAKE

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imekamilisha zoezi la kushirikisha wadau wake katika kutoa maoni kuhusu mabadiliko ya vipaumbele katika Mpango Mkakati wake wa mwaka 2016/17 hadi 2020/21. Akizungumza baada ya kufanya mikutano miwili na wadau kuhusu Mpango Mkakati huo, Mkurugenzi wa Mipango wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi amesema zoezi hili limekuwa na manufaa makubwa… Read the full article.

Special audit Kishapu