NAOT

Posted in: Featured posts

MIAKA 19 YA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWL. J.K. NYERERE

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na watumishi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, wanaungana na watanzania wote katika kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Julias Kambarage Nyerere. Katika kuenzi kudumisha maadili, amani na uwajibikaji tutaendelea kuwa Taasisi ya kiwango cha juu kwenye Ukaguzi wa Sekta ya… Read the full article.

SALAMU ZA RAMBIRAMBI VIFO – AJALI YA MV NYERERE

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Juma Assad pamoja na Watumishi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wanaungana na Watanzania wote katika maombolezo ya vifo vya ndugu zetu waliopoteza Maisha kwenye ajali ya kivuko cha  MV NYERERE, Ukerewe. Mungu awafariji wafiwa wote na tunawaombea uponyaji wa haraka majeruhi wote…. Read the full article.

Tanzania yakabidhi Ujumbe wake kwa Nchi ya Chile wakati wa Kikao cha 72 cha Bodi ya Ukaguzi wa Umoja wa Mataifa

  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu (CAG)  za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Mussa Juma Assad amakabidhi nafasi yake ya Ujumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) kwa nchi ya Jamhuri ya Chile alipohudhuria kikao cha 72 cha Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa. Akizungumza na waandishi… Read the full article.

Mwenyekiti wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa aipongeza Tanzania

Mwenyekiti wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) ambaye ni  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa India Bw. Rajiv Mehrishi ameongoza kikao cha 72 cha Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa. Akizungumza na wajumbe wa Bodi hiyo baada ya kusaini kwa pamoja ripoti za Ukaguzi za Taasisi za Umoja wa Mataifa, Bw. Mehrishi… Read the full article.

TANZANIA YAMALIZA KIPINDI CHAKE CHA UJUMBE WA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Juma Assad amekabidhi nafasi yake ya ujumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa alipohudhuria kikao cha 72 cha Bodi hiyo kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo kwenye Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) tarehe 24 Julai, 2018 jijini New… Read the full article.

TANZANIA KUWA MJUMBE MWANGALIZI KWENYE JOPO LA WAKAGUZI WA NJE WA UMOJA WA MATAIFA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Mussa Assad amehudhuria kikao cha 72 cha Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo kwenye Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) tarehe 24 Julai, 2018 jijini New York nchini… Read the full article.

CAG AHUDHURIA HAFLA YA KUWEKA SAINI RIPOTI ZA UKAGUZI WA TAASISI ZA UMOJA WA MATAIFA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Mussa Assad amehudhuria hafla ya kutia saini ripoti ishirini na nane (28) za Ukaguzi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa iliyofanyika tarehe 24 Julai, 2018 jijini New York nchini Marekani kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo katika Jengo la Makao… Read the full article.

TANZANIA YAPONGEZWA NA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA

Mwenyekiti wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa India Bw. Rajiv Mehrishi amemshukuru na kumpongeza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Mussa Assad baada ya Tanzania kumaliza muda wake wa kipindi cha miaka… Read the full article.

WAJIBIKA: PIGA VITA RUSHWA, ZINGATIA MAADILI, HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA KUELEKEA UCHUMI WA KATI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezipongeza Taasisi saba zinazohusika na usimamizi wa Maadili, Haki za Binadamu, Uwajibikaji, Utawala Bora na Mapambano dhidi ya Rushwa kwa kazi nzuri wanayoendelea kuifanya katika kuhakikisha Utawala Bora na Maadili vinazingatiwa nchini. Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya… Read the full article.

SAI TANZANIA WISHES HAPPY NEW 2018

2017 was a great and awesome year to Supreme Audit Institution of TANZANIA. Now let us welcome 2018 with commitment and optimistic that this year will work more hard to support our country and nation as a whole. On behalf of National Audit Office of Tanzania (NAOT), wishes you Happy New Year 2018 God bless… Read the full article.