NAOT

Posted in: NAOT in the news

Toleo Maalumu la Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018

Commonwealth recognized NAOT’s effort on Capacity Building on Environmental Audit

The third article is a valuable account of how SAI Tanzania is developing its people, methodologies and international relationships to deliver its environmental audit programme more effectively. On behalf of myself and my colleagues on the Editorial team, the Auditors General of Australia, Jamaica, Tanzania and the UK, we hope that you find this newsletter… Read the full article.

Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa Ya Ukaguzi kuhamia Dodoma

Organisation Structure of the National Audit Office

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali akabidhi nafasi yake ya Ujumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) kwa nchi ya Chile

Invitation for Proposal No: IE/001/HQ/C/2017-2018/09

Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha ulioishia Tarehe 30 Juni 2017

Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha ulioishia Tarehe 30 Juni 2016

Muhtasari wa matokeo ya Ukaguzi kwa Mwaka wa Fedha ulioshia tarehe 30 Juni 2016

Ofisi ya CAG yafanya kongamano la siku mbili mjini Bagamoyo

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali imefanya kongamano la siku mbili kwa vyombo vinavyohusu matumizi ya taarifa za ukaguzi wa uchunguzi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa shughuli za mradi wa kuongeza  mapambano dhidi ya rushwa chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la DFID Kongamano hilo lilihusisha maofisa wa ofisi ya… Read the full article.

Maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma 16-23/6/2014

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ikiwa kama ofisi zingine za umma inatarajia kushiriki katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 16/6/2014 hadi tarehe 23/6/2014 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam. Katika maonesho hayo ofisi inatarajia kuonesha namna  inavyofanya kazi zake za ukaguzi  kwa kushirikiana… Read the full article.