NAOT

Posted in: NAOT in the news

Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka ulioishia tarehe 30 Juni 2012 za Wasilishwa Bungeni

Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick S. L. Utouh, ziliwasilishwa bungeni tarehe 11 Aprili 2013. Ripoti hizi ni za ukaguzi wa mwaka ulioishia tarehe 30 Juni 2012. Kwa mujibu wa ibara ya 143 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (iliyorekebishwa mara kwa mara) na kifungu… Read the full article.

Tabling of the CAG’s annual audit general reports for the audit period ended 30th June 2012

This year’s CAG audit reports have been tabled in the Parliament of the United Republic of Tanzania on 11th April 2013 after being submitted to the President on 28th March 2013 as per Article 143 (4) of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977 and Section 34 (2) of the Public Audit… Read the full article.

NAOT Launch NAODP Third Phase to Enhance Financial Discipline in Public Resources

The National Audit Office Tanzania (NAOT) and the Swedish National Audit Office (SNAO) in 26th February 2013  inked the third phase of National Audit Office Development Project (NAODP) to enhance the level of accountability, transparency and financial discipline in the use of public resources. The government of Tanzania (GoT), Swedish International Development Agency (SIdA) and… Read the full article.

NAOT Management Team in a Group Photo with AFROSAI-E Peer Reviewers

The Controller and Auditor General (CAG) Mr. Ludovick S. L. Utouh praise the hard work done by the AFROSAI-E Peer Review for the betterment of  his Office.

NAOT Management Following the AFROSAI-E Peer Review Presentation

National Audit Office of Tanzania (NAOT) management team, listening to AFROSAI-E Peer Review presentation held at Dar es Salaam International Conference Center (DICC).

AFROSAI-E PEER REVIEW TEAM IN SAI TANZANIA

AFROSAI-E Peer Review Team discussing with Controller and Auditor General Mr. Ludovick S. L. Utouh after presenting their observations and recommendations to SAI Tanzania Management.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la NAOT

Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) wakijadiliana juu ya uboreshaji wa     shughuli za Ofisi hiyo, wakati wa mapumziko baada ya Ufunguzi wa baraza hilo, lililofunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Joel Bendera.

AFROSAI-E Peer Review Team to transform SAI – Tanzania

National Audit Office of Tanzania (NAOT) is a Supreme Audit Institution (SAI) of the country headed by the Controller and Auditor General (CAG). Its mandate is enshrined under Article 143 of the Constitution of the United Republic of Tanzania. The powers and mandate of the CAG are clearly stipulated in Sections 11 and 12 of the Public… Read the full article.

Mshikamano kwa Wafanyakazi Huongeza Ufanisi Kazini

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick S. L. Utouh  amewataka wafanyakazi wake kudumisha mshikamano ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku. Akimkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera, ili kufungua Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT)… Read the full article.

Tatizo la Rushwa Bado ni Kubwa Hapa Nchini

Mdhibiti na Mkaguzi  Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick S. L. Utouh amesema ofisi yake inafanya kazi kwa uangalifu mkubwa ili kubaini mianya mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma. Akifafanua katika semina ya waandishi wa vyombo vya habari na taasisi zisizo za kiserikali alisema katika miaka sita iliyopita, Ofisi yake imewezesha baadhi ya wizara, mikoa na… Read the full article.