NAOT

Posted in: News archive

 
 

CAG AWASILISHA RIPOTI ZA UKAGUZI ZA MWAKA 2012/13 KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh amewasilisha ripoti  za ukaguzi wa hesabu za serikali  za mwaka wa fedha 2012/13 kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 28 Machi 2014, Ikulu, Dar es salaam. Ripoti zilizowasilishwa kwa Rais zilikuwa tano kama ifuatavyo: (i)           … Read the full article.

CAG ahutubia mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali mjini Dodoma

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Ludovick Utouh ameishauri Serikali kuangalia upya  vyanzo vya mapato na matumizi ya fedha za Serikali kwa kuwa ni dhahiri  hali ya fedha si nzuri kabisa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu aliyasema hayo  wakati akifungua Mkutano wa pili wa mwaka wa kipindi cha fedha 2013-2014 wa Baraza Wafanyakazi… Read the full article.

NAOT yashirikiana na CCAF kuandaa mafunzo kwa kamati za Bunge za hesabu za Serikali LAAC na PAC

Tanzanian parliament

Mwenyekiti wa kamati ya Usimamizi wa Mahesabu za Canada (CCAF) ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Columbia, Bruce Ralston, amesema Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na ile ya Kamati za Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), zinatakiwa kupewa muda mwingi wa kufanya kazi zake, kwani zina wajumbe wapya ambao lazima wapate… Read the full article.

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali yazindua mafunzo

Ofisi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu za Serikali, (NAOT) imeanza mafunzo ya wiki moja kwa wakaguzi wake wapatao  120 yanayofanyika katika hoteli ya Giraffe Jijijni Dar es Salaam yenye lengo la kuwajengea uwezo  ili  kuwasaidia wakaguzi hao katika kazi zao za kila siku za ukaguzi. “Ofisi yetu ni miongoni mwa Taasisi zinazoongoza katika kuwajengea… Read the full article.

NAOT yaendesha Warsha kwa Waandishi wa Habari

Ofisi yaTaifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT), ikishirikiana na Shirika la maendeleo la Marekani USAID imefanya warsha yasiku moja na Waandishi wa Habari, Maafisa Habari, Wahariri, na Asasi za Kiraia yenye lengo la kukuza uelewa kuhusu ripoti za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali itakayosaidia kupunguza upotoshaji wa nukuu za ripoti… Read the full article.

Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha unaoishia Tarehe 30 Juni 2010

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mr. Ludovick S. L. Utouh amewasilisha bungeni Ripoti za Hesabu zilizokaguliwa za Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma kwa Mwaka wa Fedha unaoishia Juni 30, 2010 na Ripoti za Ukaguzi wa Ufanisi na Utambuzi. Ripoti hizi zilizowasilishwa bungeni tarehe 12 Aprili 2011, ziliwasilishwa kwa… Read the full article.

Mafunzo ya kamati za hesabu za Bunge

Mh. Spika Anna Makinda

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) imeandaa mafunzo ya siku tano kuanzia tarehe 21 – 25 Februari, 2011 kwa ajili ya kamati za hesabu za bunge zinazosimamia fedha za umma. Mafunzo haya yatafunguliwa Jumanne, Februari 22, 2011 na Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna makinda katika… Read the full article.

Ukaguzi wa Hesabu za Mwaka wa Fedha Unaoishia Tarehe 30 Juni 2010 Waanza

CAG akiwasilisha ripoti ya mwaka 2008/2009 kwa waandishi wa Habari,Dodoma

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh ameanza kukagua hesabu za mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2010. Hesabu hizi ziliwasilishwa na wizara, idara, wakala na taasisi mbalimbali za serikali katika ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali mwishoni mwa mwezi Septemba, mwaka huu. Aidha, ripoti za… Read the full article.