NAOT

Posted in: Press releases

CAG Charles Kichere akabidhiwa ofisi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Kichere amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa J. Assad ambaye amemaliza muda wake. Katika hafla hiyo ya makabidhiano iliyofanyika katika Jengo la Ukaguzi Jijini Dar Es Salaam, Prof Mussa Assad alianza kwa kumkaribisha Bwana Kichere… Read the full article.

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Kuhusu Ripoti Za Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Kwa Mwaka Wa Fedha Ulioishia Tarehe 30 Juni, 2018

Taarifa kwa Umma

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali akabidhi nafasi yake ya Ujumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) kwa nchi ya Chile

Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha ulioishia Tarehe 30 Juni 2017

Ufafanuzi kuhusu Ripoti za Mwaka za Ukaguzi zilizowasilishwa kwa Mhe. Rais tarehe 27 Machi 2018

Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha ulioishia Tarehe 30 Juni 2016

Muhtasari wa matokeo ya Ukaguzi kwa Mwaka wa Fedha ulioshia tarehe 30 Juni 2016

Taarifa ya CAG kwa vyombo vya habari kuhusu ripoti ya Ukaguzi ya mwaka wa Fedha 2014-2015

Muhtasari wa Ripoti Za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali za Mwaka wa Fedha Ulioishia 30 Juni 2013 kwa Vyombo vya Habari

CAG ahudhuria kikao cha 67 cha Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBOA)

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI     Taarifa kwa Vyombo Vya Habari   CAG AHUDHURIA KIKAO CHA 67 CHA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA (UNBoA)   Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick S. L. Utouh ambaye pia ni mjumbe wa Bodi… Read the full article.