SPEECH BY DPP
Bw. Ludovick S.L. Utouh, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Mstaafu), Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Mkuu, Waheshimiwa Viongozi wa Taasisi Mbalimbali, Ndugu Wanahabari, Wageni Waalikwa, Mabibi na Mabwana. Ninayo furaha na heshima kubwa kukukaribisheni nyote kwenye hafla hii mahsusi ya kumpongeza na kumuaga aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ndugu… Read the full article.
HOTUBA YA MGENI RASMI -MKUTANO WA BARAZA ST GASPER DODOMA _1_x
Hotuba ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali Ndugu Ludovick S. L. Utouh ya kumkaribisha mgeni rasmi Bw. George Yambesi – Katibu mkuu – Utumishi kufungua mkutano wa pili wa baraza la wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa hesabu za serikali tarehe 23 januari, 2014 katika ukumbi wa Mt. Gaspar –… Read the full article.