NAOT

Posted in: Unspecified

Taarifa kwa Umma

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

TANZANIA YAMALIZA KIPINDI CHAKE CHA UJUMBE WA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Juma Assad amekabidhi nafasi yake ya ujumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa alipohudhuria kikao cha 72 cha Bodi hiyo kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo kwenye Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) tarehe 24 Julai, 2018 jijini New… Read the full article.

TANZANIA KUWA MJUMBE MWANGALIZI KWENYE JOPO LA WAKAGUZI WA NJE WA UMOJA WA MATAIFA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Mussa Assad amehudhuria kikao cha 72 cha Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo kwenye Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) tarehe 24 Julai, 2018 jijini New York nchini… Read the full article.

Follow-up on implementation of previous recommendations

Environmental degradation

Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2014/15 yawasilishwa Bungeni

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2015 imewasilishwa leo bungeni. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kusomwa kwa ripoti yake Prof. Mussa J. Assad amesema kwa mwaka 2014/15 ametoa jumla ya Hati za Ukaguzi 465 zinazohusu Serikali Kuu, Serikali za… Read the full article.

WAHIMIZWA KUJADILI MASUALA YATAKAYOONGEZA TIJA KWENYE KAZI ZAO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora Mhe. George Mkuchika (Mb) amefungua mkutano wa Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi uliofanyika jana mkoani Mtwara. Katika mkutano huo, Waziri Mkuchika ameipongeza ofisi hiyo kwa kufanya ukaguzi wenye viwango vya juu na hatimaye kupungua kwa hati chafu au zenye mashaka katika… Read the full article.

Transforming partnership of NAOT for 10 years

  Transparency and accountability have been cardinal principles of the global good governance agenda that has guided the international community in the past couple of decades. The ten year long National Audit Office Development  project which was funded by the Swedish International Development Agency (SIDA), the Swedish National Audit Office (SNAO) and the Government of… Read the full article.

Mchango wa Mhe. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa Taasisi Simamizi katika kuimarisha Uadilifu, Uwazi Na Uwajibikaji nchini

Umuhimu na mchango wa utawala bora katika maendeleo endelevu ya jamii na nchi kwa ujumla hauwezi kupuuzwa. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alitufundisha “ili tuendelee tunahitaji mambo manne ya msingi”, ambapo mojawapo kati ya hayo ni uongozi bora ambayo ni hali ya kusimamia utekelezaji wa majukumu ya Serikali kwa kuzingatia misingi ya utawala bora ambayo ni… Read the full article.