NAOT

Kumbukumbu ya Kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa J. Assad (CAG) pamoja na Watumishi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi  wanaungana na Watanzania wote katika kumbukumbu  ya kumuenzi

Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Ni miaka 20 sasa tangu  kifo cha Baba wa Taifa.

 

2019

Comments are closed.