NAOT

Mafunzo ya ukaguzi wa miradi ya Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali yafunguliwa mkoani Singida

Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bi Wendy Massoy (mwenye  suti ya bluu katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya masuala ya ubia baina ya Serikali na Taasisi binafsi,mara baada ya kufungua  mafunzo hayo  mkoani  Singida kwa niaba ya CAG.

2019

Comments are closed.