NAOT

SALAMU ZA RAMBIRAMBI VIFO – AJALI YA MV NYERERE


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Juma Assad pamoja na Watumishi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wanaungana na Watanzania wote katika maombolezo ya vifo vya ndugu zetu waliopoteza Maisha kwenye ajali ya kivuko cha  MV NYERERE, Ukerewe.

Mungu awafariji wafiwa wote na tunawaombea uponyaji wa haraka majeruhi wote.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

2018

Comments are closed.