NAOT

MIAKA 19 YA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWL. J.K. NYERERE

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na watumishi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, wanaungana na watanzania wote katika kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Julias Kambarage Nyerere.

Katika kuenzi kudumisha maadili, amani na uwajibikaji tutaendelea kuwa Taasisi ya kiwango cha juu kwenye Ukaguzi wa Sekta ya Umma.

Mungu Ibariki Tanzania na Watu Wake

2018

Comments are closed.