NAOT

NAOT yazindua mkataba wa huduma kwa wateja

 

Naibu Katibu mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis  Michael  akikata utepe kuzindua  mkataba wa huduma kwa wateja wakati wa hafla ya kufungua baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi iliyofanyika  hivi karibuni  Jijini Dodoma.

2019

Comments are closed.