NAOT

Picha ya pamoja ya Ujumbe wa Tanzania nje ya Ukumbi wa Mkutano wa Bodi ya Ukaguzi wa Umoja wa Mataifa

Ujumbe wa Tanzania ukiwa kwenye picha ya pamoja nje ya lango la Ukumbi wa Mkutano baada ya kuhudhuria hafla ya kutia saini ripoti za Ukaguzi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na kukabidhi nafasi yake ya Ujumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Chile baada ya Kikao cha 72 cha UNBoA kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo kwenye Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) tarehe 24 Julai, 2018 jijini New York nchini Marekani.

2018

Comments are closed.