NAOT

Taarifa kwa umma kuhusu uwekaji wa jiwe la msingi NAOT dodoma

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) anapenda kuwaarifu wananchi wa Dodoma kuwa Mhe. Mizengo K. P. Pinda (MB) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa na zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) linalojengwa Mtaa wa Makore, Barabara ya kwenda Chuo Kikuu cha Dodoma tarehe 15 Agosti, 2012.

2012

Comments are closed.