Habari na Matukio

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Charles E. Kichere, anawatakia Watumishi na Wadau wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Krismasi Njema na Heri ya Mwaka Mpya 2024.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Charles E. Kichere, anawatakia Watumishi na Wadau wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Krismasi Njema na Heri ya Mwaka Mpya 2024.

Soma Zaidi

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akimkabidhi CAG, Bw. Charles E. Kichere cheti cha ushiriki wa Wiki ya Utoaji Huduma kwa Umma na Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi CAG Charles E. Kichere cheti cha ushiriki wa Wiki ya Utoaji Huduma kwa Umma na Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu.

Soma Zaidi

Maofisa kutoka Chuo Kikuu cha Ukaguzi cha Nanjing-China wakiongozwa na Prof. Weilong wamefanya mazungumzo na viongozi wa NAOT ili kujadili mikakati ya kuimarisha uhusiano baina ya Taasisi hizi mbili.

Maofisa watano kutoka Chuo Kikuu cha Ukaguzi cha Nanjing-China wamefanya mazungumzo na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Tanzania jijini Arusha kujadili mikakati ya kuimarisha uhusiano wa taasisi hizo…

Soma Zaidi

Happy Independence Day

Happy Independence Day

Soma Zaidi

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Salhina Mkumba akiwa na Washiriki wa Warsha ya kuongeza uelewa wa Maadili iliyoandaliwa na INTOSAI-IDI na kufanyika Dodoma Novemba 15, 2023.

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Salhina Mkumba (katikati), katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya ISSAI 130 kuhusu maadili na muongozo wa kimataifa katika ukaguzi. Warsha…

Soma Zaidi

Controller and Auditor General (CAG), Mr. Charles E. Kichere, visits China for pivotal audit collaboration, invited by the Chinese Auditor General’s Office.

Controller and Auditor General (CAG), Mr. Charles E. Kichere, visits China for pivotal audit collaboration, invited by the Chinese Auditor General's Office.

Soma Zaidi

Pongezi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (MB) kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Pongezi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (MB) kwa kuchaguliwa  kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Soma Zaidi