Our Vision
To be a centre of excellence in public sector auditing.
Our Mission
To provide efficient audit services, in order to enhance accountability and value for money in the collection and usage of public resources.
Contact us
National Audit Office
Audit House;
Samora Avenue  Ohio Street
P.O. Box 9080
Tel: 255 (22) 2115157/8
Fax: +255 (22) 2117527
+255 (22) 2133555
E-mail: ocag@nao.go.tz
Website: www.nao.go.tz
DAR ES SALAAM.
Usefull Links
 




Welcome

CAG Bw. Ludovick S. L. Utouh akiwasilisha ripoti yake kwa waandishi wa habari tarehe 12 Aprili, 2011, Dodoma


Baadhi ya wajumbe wa NAODP Steering Commitee wakiwa kwenye mkutano wa pamoja na wajumbe wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda (Mb) akifungua mkutano wa uwajibikaji uliohusisha wajumbe wa kamati za hesabu za bunge, wakaguzi na wadau mbalimbali wa Ofisi hii


CAG Bw. Ludovick S. L. Utouh (kushoto) akimtunuku medali ya ushindi mmoja wa wanamichezo wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar


Jengo la Makumbusho Kuu ya Zanzibar lilotembelewa na wanamichezo wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali hivi karibuni


Wanamichezo wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali wakitembelea makumbusho ya Zanzibar hivi karibuni


CAG Bw. Ludovick S. L. Utouh akimkaribisha mgeni rasmi Waziri Mkuu Mh. Mizengo K. P. Pinda (Mb) hayupo pichani kufungua mkutano mkuu wa wakaguzi 2011


Washiriki wa mkutano mkuu wa wakaguzi 2011 wakisikiliza kwa makini


Baadhi ya Wakaguzi Kanda wa ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wakipitia ripoti ya CAG ya hesabu za mwaka wa fedha 2009/10

NAOT Quality Review Team working for CAG Reports for FY 2009/10


CAG Bw. L. S. L. Utouh (Kushoto) akiwa katika mazungumzo na Mkaguzi Mkuu wa Lesotho Bibi. Lucy Liphafa`ofisini kwake hivi karibuni-Dar es Salaam


Rais Mh. Dkt. J. M. Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Waziri Mkuu, Spika na Makamu wa Rais baada ya kuapishwa Jaji Mkuu Mh. O. Chande (Hayupo pichani)


Auditor General of South Africa Mr. Terence Nombembe introduced to Prime Minister Hon. Pinda during his visitation- Dar es Salaam.


Aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Kumbukumbu Bw. S. Mwafumila akipokea zawadi ya pongezi kwa wastaafu wa NAOT 2010 kwenye sherehe ya wafanyakazi ya kuukaribisha mwaka 2011


Naibu waziri wa Fedha (wa kwanza kushoto ) akiinua glass kwa ajili ya kugonganisha pamoja kama ishara ya kutakiana kheri, kwenye sherehe ya wafanyakazi wa NAOT ya kuukaribisha mwaka 2011


Muwakilishi kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi- Swiden (wapili kulia) akicheza muziki kwenye sherehe ya wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (Tanzania) ya kuukaribisha mwaka 2011


Mgeni rasmi Bw. P. Luhanjo, Katibu Mkuu Kiongozi (wapili kushoto) akikabidhi baadhi ya misaada iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa kambi ya wazee, watoto yatima na wasiojiweza.


Mgeni rasmi Bw. P. Luhanjo, Katibu Mkuu Kiongozi (Kushoto) akikaribishwa na CAG Bw. L.S.L. Utouh kwenye ufunguzi wa mkutano wa wafanyakazi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi uliofanyika Dar es Salaam


Afisa tawala mwandamizi Bibi Pili Mazowea akitoa maelekezo wakati wa Mkutano wa wafanyakazi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam


Waziri Mkuu Mh. M. K. P. Pinda (kushoto) akisalimiana na CAG Bw. L.S.L. Utouh mjini Dodoma

Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa wakaguzi kutoka ofisi ya NAOT uliofanyika mjini Arusha, mwaka jana


Muwakilishi wa Benki ya Dunia akionesha vitabu vya ripoti ya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma uliofanywa na Ofisi hii


Mmoja wa watu waliotembelea banda la NAOT akisaini kitabu cha wageni katika maonesho ya sabasaba


CAG akiwasilisha ripoti ya mwaka 2008/2009 kwa waandishi wa habari, Dodoma


Michezo ya Bonanza la Pasaka NAOT Bara Vs Visiwani


CAG akitoa pongezi

CAG akimkabidhi muwakilishi wa SNAO cheti cha mahudhurio 

NEWS AND EVENTS
 
Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha unaoishia Tarehe 30 Juni 2010
13-06-2011
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mr. Ludovick S. L. Utouh amewasilisha bungeni  Ripoti za Hesabu zilizokaguliwa za Serikali Kuu, Serikali za Mitaa,  Mashirika ya Umma kwa Mwaka wa Fedha unaoishia Juni
Read More
 
MAFUNZO YA KAMATI ZA HESABU ZA BUNGE
21-02-2011
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) imeandaa mafunzo ya siku tano kuanzia tarehe 21 - 25 Februari, 2011 kwa ajili ya kamati za hesabu za bunge zinazosimamia fedha za umma.
Read More
 
Ukaguzi wa Hesabu za Mwaka wa Fedha Unaoishia Tarehe 30 Juni 2010 Waanza
04-11-2010
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh ameanza kukagua hesabu za mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2010. Hesabu hizi ziliwasilishwa na wizara, i
Read More
More News ]           [ News Archive ]
PRESS RELEASE
  Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Seikali kwa Waandishi wa Habari kuhusu Ukaguzi wa Hesabu za Mwaka wa Fedha unaoishia Juni 30 2010
Date : 13-06-2011
  Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu ufafanuzi wa Ripoti za CAG za Mwaka wa Fedha 2009/2010
Date : 02-05-2011
SPEECHES
  Resolutions of Annual Auitors Conference 2011
Date : 18-07-2011
  Annual Auditors Conference 2011 Opening Remarks by CAG Mr. Ludovick S. L. Utouh
Date : 15-07-2011
  Annual Auditors Coference 2011 Opening Speech by Hon. Prime Minister Mizengo K. P. Pinda held at White Sands Hotel, Dar es Salaam
Date : 15-07-2011
Events Calendar
Date : 23 Feb 2012
Nothing for today
Feb  
Jan 2012 February 2012 Mar 2012
S M T W T F S
      1 2 3 4
5 6 7 8 9 10 11
12 13 14 15 16 17 18
19 20 21 22 23 24 25
26 27 28 29      
 
 
Copyright © 2012.National Audit Office of Tanzania.