NAOT

 • Wajumbe wa baraza wakifuatilia mada jijini Dodoma

    Sehemu ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa baraza hilo lilofanyika  Jijini Dodoma hivi karibuni.

 • CAG akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu-Utumishi

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad akiteta jambo na Naibu Katibu mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis  Michael wakati wa hafla ya kufungua  Baraza la wafanyakazi  hivi karibuni Jijini Dodoma.

 • Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi NAOT

    Naibu Katibu mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) mara baada ya kufungua baraza la wafanyakazi Jijini Dodoma.

 • NAOT yazindua mkataba wa huduma kwa wateja

    Naibu Katibu mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis  Michael  akikata utepe kuzindua  mkataba wa huduma kwa wateja wakati wa hafla ya kufungua baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi iliyofanyika  hivi karibuni  Jijini Dodoma.

 • Watumishi waaswa kuzingatia Maadili

  Naibu Katibu mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis  Michael akisisitiza umuhimu  wa watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi  (NAOT) kuzingatia maadili ya utumishi wa umma wakati wa kutekeleza majukumu yao , ameyasema hayo wakati akifungua baraza la wafanyakazi wa Ofisi hivi  karibuni  Jijini Dodoma.

 • MIAKA 19 YA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWL. J.K. NYERERE

  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na watumishi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, wanaungana na watanzania wote katika kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Julias Kambarage Nyerere. Katika kuenzi kudumisha maadili, amani na uwajibikaji tutaendelea kuwa Taasisi ya kiwango cha juu kwenye Ukaguzi wa Sekta ya… Read the full article.

 • SALAMU ZA RAMBIRAMBI VIFO – AJALI YA MV NYERERE

  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Juma Assad pamoja na Watumishi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wanaungana na Watanzania wote katika maombolezo ya vifo vya ndugu zetu waliopoteza Maisha kwenye ajali ya kivuko cha  MV NYERERE, Ukerewe. Mungu awafariji wafiwa wote na tunawaombea uponyaji wa haraka majeruhi wote…. Read the full article.

 • Tanzania yakabidhi Ujumbe wake kwa Nchi ya Chile wakati wa Kikao cha 72 cha Bodi ya Ukaguzi wa Umoja wa Mataifa

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu (CAG)  za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Mussa Juma Assad amakabidhi nafasi yake ya Ujumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) kwa nchi ya Jamhuri ya Chile alipohudhuria kikao cha 72 cha Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa. Akizungumza na waandishi… Read the full article.

 • Mwenyekiti wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa aipongeza Tanzania

  Mwenyekiti wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) ambaye ni  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa India Bw. Rajiv Mehrishi ameongoza kikao cha 72 cha Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa. Akizungumza na wajumbe wa Bodi hiyo baada ya kusaini kwa pamoja ripoti za Ukaguzi za Taasisi za Umoja wa Mataifa, Bw. Mehrishi… Read the full article.

 • TANZANIA YAMALIZA KIPINDI CHAKE CHA UJUMBE WA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA

  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Juma Assad amekabidhi nafasi yake ya ujumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa alipohudhuria kikao cha 72 cha Bodi hiyo kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo kwenye Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) tarehe 24 Julai, 2018 jijini New… Read the full article.

Title Category Sector Audited entity Period year Published year Language File
Test performance report General Agriculture SUAT 2017 2018 Swahili Download

More...

Title Category Sector Audited entity Uploaded date Financial year Language File
Test report General Financial SUAT 12 Jun, 2019 2018 Swahili Download

More...