Watumishi NAOT kutoka Divisheni mbalimbali wakabidhiwa Tuzo ya CAG ya Ripoti Bora ya Ukaguzi kwa mwaka wa Fedha 2020/2021.
Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Salhina Mkumba (watatu kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa NAOT kutoka Divisheni mbalimbali ambao wameshinda Tuzo ya CAG ya Ripoti Bora…
Soma Zaidi