Watumishi NAOT kutoka Divisheni mbalimbali wakabidhiwa Tuzo ya CAG ya Ripoti Bora ya Ukaguzi kwa mwaka wa Fedha 2020/2021.

Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Salhina Mkumba (watatu kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa NAOT kutoka Divisheni mbalimbali ambao wameshinda Tuzo ya CAG ya Ripoti Bora…

Soma Zaidi

Ziara ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ofisi ya Ukaguzi Zanzibar.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles Kichere akipokea ujumbe Maalumu wa ukaribisho  kutoka kwa  Watumishi wa Ofisi ya Ukaguzi Zanzibar wakati alipofanya ziara ya kikazi…

Soma Zaidi
AFROSAI-E Annual HR Regional Workshop: 19 – 23 September in Dar es Salaam, Tanzania

AFROSAI-E Annual HR Regional Workshop: 19 – 23 September in Dar es Salaam, Tanzania

AFROSAI-E Annual HR WorkshopSep 19 - Sep 23, 2022At our annual HR Workshop this year, we will focus on staff productivity and engagement as the key discussion topics. The 2021 ICBF results show that SAIs in…

Soma Zaidi

Mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo Wasaidizi wa Mkaguzi Mkuu na Wakaguzi Wakuu wa Nje yaliyoandaliwa na Bodi na Taasisi ya Ukaguzi wa Mafunzo ya Korea Kusini (AITI na BAI) kwa ushirikiano na NAOT.

Naibu Mkaguzi Mkuu, Bw. George Haule (kulia) akikabidhi kwa niaba ya CAG cheti cha kuhitimu mafunzo, kwa Bw. Isaya Jeremia wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wa mbinu za ukaguzi, Wasaidizi wa…

Soma Zaidi

Heri ya Sikukuu ya Wakulima 8/8

Heri ya Sikukuu ya Wakulima 8/8

Soma Zaidi

TANZIA

TANZIA

Soma Zaidi

OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YATOA MSAADA KWA KITUO CHA KULEA WATOTO CHA KIJIJI CHA MATUMAINI DODOMA

OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YATOA MSAADA KWA KITUO CHA KULEA WATOTO CHA KIJIJI CHA MATUMAINI DODOMAWafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) wamekabidhi msaada kwa kituo cha watoto yatima kilichopo Kijiji…

Soma Zaidi

WAFANYAKAZI WASTAAFU WAAGWA HUKU WAFANYAKAZI BORA NA HODARI WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO

WAFANYAKAZI WASTAAFU WAAGWA HUKU WAFANYAKAZI BORA NA HODARI WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAOMenejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) imefanya hafla ya kuwaaga Watumishi waliostaafu pamoja na kukabidhi zawadi…

Soma Zaidi