Heri ya Miaka 60 ya Muungano.
Heri ya Miaka 60 ya Muungano.
Soma ZaidiMkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Bw. Novati Mfalamagoha, amemwakilisha CAG kwenye kufungua mafunzo kwa Wakaguzi wa Ufanisi kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda. Mafunzo hayo…
Soma ZaidiMiaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1964 - 2024.
Soma ZaidiMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la JP Magufuli lenye Urefu wa Km 3.2 (Kigongo -Busisi) mkoani Mwanza.…
Soma ZaidiRais wa Mahakama ya Ukaguzi wa Hesabu ya Ufalme wa Saudi Arabia, Dkt. Husam Alangari na Ujumbe wake wamefanya ziara kwenye Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Tanzania (NAOT) ambapo wamepata fursa ya kufanya kikao…
Soma ZaidiCAG, Bw. Charles E. Kichere akikaribishwa Bungeni na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azan Zungu wakati Serikali ilipowasilisha Bungeni Ripoti za Ukaguzi wa CAG kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.
Soma ZaidiMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amezungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma kuhusiana na Ripoti Kuu za Ukaguzi wa Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.
Soma ZaidiMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere anatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson…
Soma Zaidi