Ukaguzi wa Hesabu za Mwaka wa Fedha Unaoishia Tarehe 30 Juni 2010 Waanza
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh ameanza kukagua hesabu za mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2010. Hesabu hizi ziliwasilishwa na wizara, idara, wakala na taasisi…
Soma Zaidi