Rais wa Mahakama ya Ukaguzi wa Hesabu ya Ufalme wa Saudi Arabia, Dkt. Husam Alangari na Ujumbe wake wamefanya ziara kwenye Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi jijini Dar es Salaam.
Rais wa Mahakama ya Ukaguzi wa Hesabu ya Ufalme wa Saudi Arabia, Dkt. Husam Alangari na Ujumbe wake wamefanya ziara kwenye Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Tanzania (NAOT) ambapo wamepata fursa ya kufanya kikao…
Soma Zaidi