Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi inayoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Mhe. Balozi Ombeni Sefue imekutana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Adv. Charles E. Kichere.
Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi inayoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Mhe. Balozi Ombeni Sefue imekutana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CPA Adv. Charles E. Kichere.
