Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yatoa mafunzo kwa Kamati za kudumu za Bunge za PAC, PIC, LAAC na kwa Watumishi wake katika kuwajengea uwezo.
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inafanya mafunzo kwa ajili ya kuwajengea uwezo Wabunge wa Kamati za kudumu za Bunge. Kamati hizi ni pamoja na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Kamati ya kuhudumu ya Serikali za…
Soma Zaidi