NAOT yashirikiana na CCAF kuandaa mafunzo kwa kamati za Bunge za hesabu za Serikali LAAC na PAC

Mwenyekiti wa kamati ya Usimamizi wa Mahesabu za Canada (CCAF) ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Columbia, Bruce Ralston, amesema Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na ile ya Kamati za Hesabu za…

Soma Zaidi

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali yazindua mafunzo

Ofisi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu za Serikali, (NAOT) imeanza mafunzo ya wiki moja kwa wakaguzi wake wapatao  120 yanayofanyika katika hoteli ya Giraffe Jijijni Dar es Salaam yenye lengo la kuwajengea…

Soma Zaidi

NAOT yaendesha Warsha kwa Waandishi wa Habari

Ofisi yaTaifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT), ikishirikiana na Shirika la maendeleo la Marekani USAID imefanya warsha yasiku moja na Waandishi wa Habari, Maafisa Habari, Wahariri, na Asasi za Kiraia…

Soma Zaidi

Wananchi washirikishwe katika Ukaguzi fedha za Umma

Mdhibiti  na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali(CAG), Ludovick Utouh, amesema kuna umuhimu wa kuwapo kwa uwazi na uwajibikaji pamoja na kuwashirikisha wananchi katika mchakato wa ukaguzi wa fedha za…

Soma Zaidi

Tunachojifunza kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick S. L. Utouh

Katika kipindi cha miaka sita iliyopita (2006 hadi sasa) Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) chini ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CAG),…

Soma Zaidi

Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka ulioishia tarehe 30 Juni 2012 za Wasilishwa Bungeni

Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick S. L. Utouh, ziliwasilishwa bungeni tarehe 11 Aprili 2013. Ripoti hizi ni za ukaguzi wa mwaka ulioishia tarehe 30 Juni 2012. Kwa…

Soma Zaidi

Tabling of the CAG’s annual audit general reports for the audit period ended 30th June 2012

This year’s CAG audit reports have been tabled in the Parliament of the United Republic of Tanzania on 11th April 2013 after being submitted to the President on 28th March 2013 as per Article 143…

Soma Zaidi

NAOT Launch NAODP Third Phase to Enhance Financial Discipline in Public Resources

The National Audit Office Tanzania (NAOT) and the Swedish National Audit Office (SNAO) in 26th February 2013  inked the third phase of National Audit Office Development Project (NAODP) to enhance the…

Soma Zaidi