Taarifa kwa Umma: Kuhuishwa kwa Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anapenda kuutarifu Umma kuwa, Sheria ya Ukaguzi wa Umma, sura ya 418 imefanyiwa mapitio na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Sheria hii iliyopitiwa imeanza…
Soma Zaidi