Mafunzo ya kamati za hesabu za Bunge
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) imeandaa mafunzo ya siku tano kuanzia tarehe 21 - 25 Februari, 2011 kwa ajili ya kamati za hesabu za bunge zinazosimamia fedha za umma. Mafunzo haya…
Soma Zaidi