Mwakilishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. George Haule akiwasilisha mada kwenye Mkutano wa Wiki ya Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) kuhusu umuhimu wa Thamani ya Fedha katika Sekta ya Umma (Value for Money in the Public Sector) Septemba 12, 2023 jijini Arusha.
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yashiriki ufunguzi wa Mkutano wa Wiki ya Ufuatiliaji na Tathmini Septemba 12, 2023 jijini Arusha.
