Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Taarifa Kuu ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Taarifa Kuu ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kutoka kwa CAG, Bw. Charles E. Kichere.
