Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Nuru Waziri Kindamba kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Afisa wa NAOT, Bi. Nuru Waziri Kindamba kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje.
