Mkaguzi Mkuu wa Ndani katika Mkoa wa Mbeya Bwana Exaud Nitukusya (aliyesimama) akiwa pamoja na Bwana Frank (Kushoto) na Bibi Happy Severine (Kulia) wakati wa ufunguzi wa warsha ya siku tatu ya Toleo Maalum la Mwananchi na wajibu wa Mwanahabari katika kuandika ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu kati ya waandishi wa habari na Asasi zisizo za Kiserikali
Ufunguzi warsha ya Toleo Maalumu la Mwananchi la Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
