Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yatoa mafunzo kwa Kamati za kudumu za Bunge za PAC, PIC, LAAC na kwa Watumishi wake katika kuwajengea uwezo.

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inafanya mafunzo kwa ajili ya kuwajengea uwezo Wabunge wa Kamati za kudumu za Bunge. Kamati hizi ni pamoja na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Kamati ya kuhudumu ya Serikali za…

Soma Zaidi

Tangazo la Nafasi za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) 21-05-2021

Tangazo la Nafasi za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) 21-05-2021

Soma Zaidi

Taarifa kwa Umma:CAG Akabidhi Ripoti kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa…

Soma Zaidi

Taarifa kwa Umma:Uwasilishaji wa Ripoti za Ukaguzi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa…

Soma Zaidi

Taarifa kwa Umma: Kuhuishwa kwa Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anapenda kuutarifu Umma kuwa, Sheria ya Ukaguzi wa Umma, sura ya 418 imefanyiwa mapitio na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Sheria hii iliyopitiwa imeanza…

Soma Zaidi

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC ) na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wafanya ziara kwenye mradi wa ujenzi wa kiwanda cha sukari cha Mkulazi

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC ) ikiongozwa na Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka Mbunge wa Same Mashariki ikishirikiana na Ofisi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu za Serikali imefanya ziara ya kutembelea…

Soma Zaidi

Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) yatoa Mafunzo kwa Wakaguzi

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa mafunzo kwa wakaguzi yanayojulikana kama Ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Serikali. Mafunzo haya yametolewa chini ya Mradi unaofadhiliwa na AfDB ambao umeleta…

Soma Zaidi

Kamati za kudumu za Bunge za PAC na LAAC zapatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bwana Charles E. Kichere amefungua mafunzo ya siku mbili kwaajili ya kuwajengea uwezo Wabunge wa Kamati za kudumu za Hesabu za Serikali (PAC) na kamati ya…

Soma Zaidi