Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Watakiwa Kufanya Kazi kwa Bidii, Ueledi na Uadilifu
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali imempokea Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Edward Kichere ambaye anachukua nafasi ya Profesa Mussa Juma Assad aliyemaliza muda…
Soma Zaidi