CAG ahutubia mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali mjini Dodoma
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Ludovick Utouh ameishauri Serikali kuangalia upya vyanzo vya mapato na matumizi ya fedha za Serikali kwa kuwa ni dhahiri hali ya fedha si nzuri…
Soma Zaidi