Muhtasari wa Ripoti ya Ukaguzi 2011/2012 Toleo la mwananchi
Kitabu cha Mwananchi cha Muhtasari wa Ripoti ya Ukaguzi 2011/2012
Soma ZaidiKitabu cha Mwananchi cha Muhtasari wa Ripoti ya Ukaguzi 2011/2012
Soma ZaidiMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh amewasilisha ripoti za ukaguzi wa hesabu za serikali za mwaka wa fedha 2012/13 kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
Soma ZaidiMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Ludovick Utouh ameishauri Serikali kuangalia upya vyanzo vya mapato na matumizi ya fedha za Serikali kwa kuwa ni dhahiri hali ya fedha si nzuri…
Soma ZaidiMwenyekiti wa kamati ya Usimamizi wa Mahesabu za Canada (CCAF) ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Columbia, Bruce Ralston, amesema Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na ile ya Kamati za Hesabu za…
Soma ZaidiOfisi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu za Serikali, (NAOT) imeanza mafunzo ya wiki moja kwa wakaguzi wake wapatao 120 yanayofanyika katika hoteli ya Giraffe Jijijni Dar es Salaam yenye lengo la kuwajengea…
Soma ZaidiOfisi yaTaifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT), ikishirikiana na Shirika la maendeleo la Marekani USAID imefanya warsha yasiku moja na Waandishi wa Habari, Maafisa Habari, Wahariri, na Asasi za Kiraia…
Soma ZaidiMdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali(CAG), Ludovick Utouh, amesema kuna umuhimu wa kuwapo kwa uwazi na uwajibikaji pamoja na kuwashirikisha wananchi katika mchakato wa ukaguzi wa fedha za…
Soma ZaidiKatika kipindi cha miaka sita iliyopita (2006 hadi sasa) Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) chini ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CAG),…
Soma Zaidi