Habari na Matukio

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC ) na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wafanya ziara kwenye mradi wa ujenzi wa kiwanda cha sukari cha Mkulazi

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC ) ikiongozwa na Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka Mbunge wa Same Mashariki ikishirikiana na Ofisi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu za Serikali imefanya ziara ya kutembelea…

Soma Zaidi

Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) yatoa Mafunzo kwa Wakaguzi

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa mafunzo kwa wakaguzi yanayojulikana kama Ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Serikali. Mafunzo haya yametolewa chini ya Mradi unaofadhiliwa na AfDB ambao umeleta…

Soma Zaidi

Kamati za kudumu za Bunge za PAC na LAAC zapatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bwana Charles E. Kichere amefungua mafunzo ya siku mbili kwaajili ya kuwajengea uwezo Wabunge wa Kamati za kudumu za Hesabu za Serikali (PAC) na kamati ya…

Soma Zaidi

CAG atoa Mafunzo kwa Kamati za BUNGE

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inaendesha mafunzo ya siku tatu kwa kamati za Bunge, kamati hizo ni; Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) na kamati…

Soma Zaidi

CAG Awataka Wafanyakazi Kuzingatia Uwazi na Uwajibikaji

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Charles Kichere ametoa maelekezo kwa viongozi na watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kuzingatia Uwazi na Uwajibikaji ili kuboresha maadili katika utumishi…

Soma Zaidi

Watumishi wa ofisi ya Taifa ya Ukaguzi watakiwa kutangaza Mali na Madeni

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAO) leo tarehe 28 Mei imefanya kikao kazi cha siku moja ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuandaa mapendekezo ya utungwaji wa Kanuni za Utangazaji Mali na Madeni kwa watumishi wa Ofisi…

Soma Zaidi

NAOT scoops Prize for the best Performance Audit Report of 2019 for the fourth time

The Controller and Auditor General of Tanzania is delighted to inform the public and our esteemed stakeholders that the National Audit Office of Tanzania has emerged the winner of the Best Performance Audit…

Soma Zaidi

Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha ulioishia Tarehe 30 Juni 2019 zawasilishwa Bungeni leo tarehe 06 Aprili 2020

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali  anapenda kuvijulisha vyombo vya Habari  na Umma wa Watanzania kwamba leo Tarehe 6 Aprili 2020 taarifa zake za Ukaguzi kwa Mwaka wa Fedha ulioishia…

Soma Zaidi