Habari na Matukio

Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Watakiwa Kufanya Kazi kwa Bidii, Ueledi na Uadilifu

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali imempokea Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Edward Kichere ambaye anachukua nafasi ya Profesa Mussa Juma Assad aliyemaliza muda…

Soma Zaidi

Ufunguzi warsha ya Toleo Maalumu la Mwananchi la Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Mkaguzi Mkuu wa Ndani katika Mkoa wa Mbeya Bwana Exaud Nitukusya (aliyesimama) akiwa pamoja na Bwana Frank (Kushoto) na Bibi Happy Severine  (Kulia) wakati wa ufunguzi wa  warsha ya siku tatu ya…

Soma Zaidi