Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akabidhi ripoti za Ukaguzi kwa Raisi Dkt. John Pombe Magufuli ya mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 June 2019.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 26 Machi, 2020 amemkabidhi Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ripoti ya ukaguzi…
Soma Zaidi