Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles Edward Kichere pamoja na watumishi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali wanaungana na Watanzania wote katika kuadhimisha miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara