Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Msemaji MKuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakati akiwasilisha mada ya Wajibu wa Wanahabari katika kuandika ripoti katika warsha  iliyofanyika katika ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Mkoani Mbeya