Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yafanya Warsha ya siku mbili kwa Waandishi wa Habari Mkoani Mwanza

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inaendesha warsha ya siku mbili na Waandishi wa Habari  Mkoani Mwanza. Warsha hii ina lengo la kuwajengea washiriki uwezo katika kuripoti taarifa za…

Soma Zaidi

Mwakilishi wa Balozi wa Sweden atembelea Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

Mwakilishi wa Balozi wa Sweden atembelea Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

Soma Zaidi

Ofisi ya Taifa ya ukaguzi yafanya kikao kazi na wadau mbalimbali wa sheria mkoani - Singida

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inaendesha kikao kikao kazi juu ya matumizi ya Nyaraka za Ukaguzi katika uchunguzi na uendeshaji wa mashauri Mahakamani yanayowashirikisha wataalamu kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi,…

Soma Zaidi

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Yafanya warsha ya siku mbili mkoani Morogoro

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali  inaendesha warsha ya siku mbili (Februari 6-7,2020) kwa Wahariri wa vyombo vya Habari  na waandishi wa Habari  Mkoani Morogoro. Warsha…

Soma Zaidi

Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles Edward Kichere pamoja na watumishi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali wanaungana na Watanzania wote katika kuadhimisha…

Soma Zaidi

Washiriki wa Warsha wakimsikiliza Msemaji MKuu wa Serikali

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Msemaji MKuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakati akiwasilisha mada ya Wajibu wa Wanahabari katika kuandika ripoti katika warsha  iliyofanyika katika ofisi ya Taifa ya…

Soma Zaidi

Toleo Maalumu la Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018

Toleo hili kwa ajili ya wananchi limegawanyika katika sehemu kuu tisa. Taarifa za fedha zilizokaguliwa kwa hesabu zinazoishia tarehe 30 June 2018 pamoja na ukaguzi wa Ufanisi na ukaguzi wa Mifumo ya…

Soma Zaidi

Mafunzo ya ukaguzi wa miradi ya Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali yafunguliwa mkoani Singida

Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bi Wendy Massoy (mwenye  suti ya bluu katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya masuala ya ubia baina ya Serikali na Taasisi binafsi,mara…

Soma Zaidi