CAG atoa Mafunzo kwa Kamati za BUNGE

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inaendesha mafunzo ya siku tatu kwa kamati za Bunge, kamati hizo ni; Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) na kamati…

Soma Zaidi

CAG Awataka Wafanyakazi Kuzingatia Uwazi na Uwajibikaji

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Charles Kichere ametoa maelekezo kwa viongozi na watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kuzingatia Uwazi na Uwajibikaji ili kuboresha maadili katika utumishi…

Soma Zaidi

Watumishi wa ofisi ya Taifa ya Ukaguzi watakiwa kutangaza Mali na Madeni

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAO) leo tarehe 28 Mei imefanya kikao kazi cha siku moja ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuandaa mapendekezo ya utungwaji wa Kanuni za Utangazaji Mali na Madeni kwa watumishi wa Ofisi…

Soma Zaidi

NAOT scoops Prize for the best Performance Audit Report of 2019 for the fourth time

The Controller and Auditor General of Tanzania is delighted to inform the public and our esteemed stakeholders that the National Audit Office of Tanzania has emerged the winner of the Best Performance Audit…

Soma Zaidi

Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha ulioishia Tarehe 30 Juni 2019

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ameongea na waandishi wa habari  leo Tarehe 06 Aprili 2020 katika Ukumbi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Jijini Dodoma mara baada ya ripoti za ukaguzi…

Soma Zaidi

Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha ulioishia Tarehe 30 Juni 2019 zawasilishwa Bungeni leo tarehe 06 Aprili 2020

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali  anapenda kuvijulisha vyombo vya Habari  na Umma wa Watanzania kwamba leo Tarehe 6 Aprili 2020 taarifa zake za Ukaguzi kwa Mwaka wa Fedha ulioishia…

Soma Zaidi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akabidhi ripoti za Ukaguzi kwa Raisi Dkt. John Pombe Magufuli ya mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 June 2019.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 26 Machi, 2020 amemkabidhi Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ripoti ya ukaguzi…

Soma Zaidi