Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ameongea na waandishi wa habari  leo Tarehe 06 Aprili 2020 katika Ukumbi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Jijini Dodoma mara baada ya ripoti za ukaguzi zinazoishia mwaka wa fedha wa tarehe 30 Juni 2019  kuwasilishwa Bungeni.