CAG abaini madudu Kishapu

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh, akizungumza na waandishi wa habari juu ya ripoti ya ukaguzi maalum katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga na matumizi ya…

Soma Zaidi

PMO, Ministry differ on forest management

There are conflicting objectives between the Ministry of Natural Resources and Tourism and Prime Minister’s Office (Regional Administration and Local Government) in the management of forests, one of the…

Soma Zaidi

Miaka 50 ya Uhuru: Kutoka Ofisi ya Mkaguzi Mkoloni hadi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

DESEMBA 9 mwaka huu, Tanganyika iliadhimisha miaka 50 ya uhuru wake huku kukiwa na mambo kadhaa ambayo idara kama za Serikali Kuu ziliandaa na kuonyesha. Kumbukumbu hiyo ya uhuru ilionyesha historia ya mambo…

Soma Zaidi

Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha unaoishia Tarehe 30 Juni 2010

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mr. Ludovick S. L. Utouh amewasilisha bungeni Ripoti za Hesabu zilizokaguliwa za Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma kwa Mwaka wa Fedha…

Soma Zaidi

Mafunzo ya kamati za hesabu za Bunge 2011

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) imeandaa mafunzo ya siku tano kuanzia tarehe 21 - 25 Februari, 2011 kwa ajili ya kamati za hesabu za bunge zinazosimamia fedha za umma. Mafunzo…

Soma Zaidi

Mafunzo ya kamati za hesabu za Bunge

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) imeandaa mafunzo ya siku tano kuanzia tarehe 21 - 25 Februari, 2011 kwa ajili ya kamati za hesabu za bunge zinazosimamia fedha za umma. Mafunzo haya…

Soma Zaidi

Ukaguzi wa Hesabu za Mwaka wa Fedha Unaoishia Tarehe 30 Juni 2010 Waanza

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh ameanza kukagua hesabu za mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2010. Hesabu hizi ziliwasilishwa na wizara, idara, wakala na taasisi…

Soma Zaidi