Ludovick Utouh apitishwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakaguzi ya hesabu za Umoja wa Mataifa
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Ludovick Utouh amependekezwa na kupitishwa kwa kauli Moja kuwa Mjumbe wa Bodi ya wakaguzi wa Hesabu za Umoja wa…
Soma Zaidi