QR Code: mXfYgwCZzP
Ripoti hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa mifumo ya TEHAMA uliofanyika kwa lengo la kutathmini uzingatiaji wa taasisi za umma katika usimamizi wa mifumo ya TEHAMA, ufanisi wa udhibiti wa TEHAMA, na utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Usalama wa Mtandao (2018–2023). Ukaguzi huu ulijumuisha taasisi 78 za umma na mifumo minne mikuu ya serikali, ambapo upungufu ulibainika katika usalama wa mtandao, mifumo ya kifedha, usimamizi wa mapato, uendelevu wa huduma, na usimamizi wa TEHAMA.
0 Maoni